WASOMI HURU GEREZANI.
THE RICHEST MAN IN BABYLON.
THE MAGIC OF THINKING BIG.
SAIKOLOJIA YA HAIBA; WEWE NI NANI?
Kujiunga na kundi la wasapu la CHUO CHA MAARIFA tuma ujumbe wasapu wenye maneno Chuo Cha Maarifa, tuma kwa namba 0672134512
GET SMART.
Je! Una ndoto ya kuwa na uhuru wa kifedha?
Je! Una iamini hiyo ndoto yako?
Je! Una ndoto ya kuwa na aina bora ya Maisha?
Je! Una iamini ndoto hiyo ndoto yako?
Najua majibu hapo yatakuwa ni ndiyo tu bila shaka.
Je! Unajua jinsi ya kuwa na uhuru wa kifedha?
Je! Unajua jinsi unavyoweza kuwa na maisha Bora unayoyataka?
Je! Unajua kwamba chochote unachotaka unaweza kukipata kwa kuwa hakuna na hayupo wa kukuzuia zaidi yako wewe mwenyewe?
Brian Tracy anatufundisha ni kwa jinsi gani tunaweza kuwa bora ili ndiyo sasa tuweze kufanya yaliyo bora, Kumbuka huwezi kufanikiwa kama huna tabia za Mafanikio, Tabia za Mafanikio huleta Mafanikio.
kitabu hiki kitakujuza nini hasa unatakiwa ufanye ili uwe bora, nini hasa unapaswa ufanye ili uwe na tabia za Mafanikio.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
THINK POSITIVE THINGS WILL GO RIGHT.
Buddha aliwahi kusema kwamba, "Tunakuwa kwa kile tunachofikiri. "Hii tafsiri yake ni kwamba, Mawazo yetu ndiyo nayo yanafanya sisi tuweje. Kama hivyo ndivyo ilivyo na kama huo ndiyo ukweli ulivyo, Je! Mawazo yako wewe huwa ni chanya au hasi?
Jibu la swali hilo ni jepesi sana, kama tunakuwa kwa kile tunachofikiri, basi tukijiangalia vile tulivyo ndiyo tutajua ikiwa mawazo yetu sisi ni ya namna gani.
Unataka sana kufanikiwa lakini hufanikiwi, unashindwa hata kuelewa unakwama wapi, jibu ni rahisi tu kwamba, unakwama kwenye yale unayoyafikiria.
Ndipo mwandishi A.K Kamath anatufundisha kwa kina sana ikiwa ni pamoja na kutupatia mwongozo wa jinsi ya kufikiria mawazo mazuri na jinsi ya kuyatumia mawazo hayo mazuri ili yakapate kutupatia matunda mema.
Kujifunza zaidi kuhusu kufikiria mawazo mazuri ili mambo yawe mazuri pia, amua kusoma kitabu hiki hivi sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
HOW TO RAISE YOUR OWN SALARY.
Inawezekana umekuwa ni mtumwa wa hako ka mshahara unakolipwa huko unapofanya kazi.
Inawezekana pia umekuwa mtumwa sana kwa kipato unachopata.
Najua unatamani tena unataka sana kuwa na kipato kikubwa lakini najua tena nina uhakika hujui jinsi ya kuongeza kipato chako ndiyo maana kila siku umekuwa ukilalamika sana mshahara mdogo na mambo kama hayo.
Unajisikiaje leo nikikuambia kwamba tatizo lako sio tatizo tena kama utaamua kusoma kitabu hiki na kufanyia kazi yale utakayojifunza?
Napoleon Hill anatufundisha kwa kina kabisa jinsi ya kuongeza kipato chetu, tatizo wala sio kiasi cha mshahara unacholipwa, tatizo sio kipato unachopata bali tatizo kwako ni hili, huna maarifa ya jinsi gani unaweza kuongeza kipato chako kwa kadiri utakavyo, Ili uweze kutatua hilo tatizo lako, amua kusoma kitabu hiki sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
THE AMAZING RESULTS OF POSITIVE THINKING.
Kama umeshakisoma kitabu cha The power of positive thinking cha Dr. Norman Vincent Peale utakuwa unajua ni nguvu gani iliyopo kwenye kufikiria mawazo chanya.
Kuna matokeo ya maajabu tena ya kushangaza sana ya kufikiria mawazo chanya, Swali ni Je! Unataka kujua matokeo hayo ya kufikiria mawazo chanya yanavyoweza kupatikana?
Jibu najua ni ndiyo maana ninajua tena nina uhakika kwamba unataka sana matokeo makubwa maishani mwako, amua sasa kusoma kitabu hiki kwani yote hayo utayajua humo.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
THE MILLIONAIRE NEXT DOOR.
1. Nini kimefanya ufanikiwe?.
2. Nini kimefanya usifanikiwe?
Kama ukisema leo uwaulize swali namba moja watu waliofanikiwa, kila mtu atatoa sababu zake za kwa nini kafanikiwa na nini hasa kafanya na kafanyaje hata ameweza kufanikiwa.
Kama ukisema uwaulize swali namba mbili watu ambao hawajafanikiwa, Hapo pia kila mtu atatoa sababu zake zikiwa pamoja na visingizio kibao vya kwa nini hajafanikiwa.
Mpaka hapo utakuwa umegundua kwamba, Sababu huwa zipo kwa wote, wanaofanikiwa na hata wasiofanikiwa, kazi ni kwako kuchagua hasa sababu gani ufanyie kazi na kwa nini.
Waandishi hawa wawili bwana Thomas Stanley na bwana William Danko wanatufundisha mambo ya msingi sana ya kuzingatia ikiwa unataka kweli mlango wa utajiri ufunguke kwa ajili yako.
Muhimu kwako ni kuamua kusoma kitabu hiki kwani kitakujuza mengi muhimu kuhusu mafanikio ya kifedha.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
RICH DAD'S GUIDE TO INVESTMENT.
Ni ukweli uliowazi tu kwamba kama hutakuwa mwekezaji basi hutakuwa na uwezekano wa kuwa na uhuru wa kifedha.
Bahati mbaya ni kwamba, Familia tulizotoka sio wawekezaji au ni wawekezaji wa kimazoea tu hivyo inakuwa ngumu kutufundisha maana wao wenyewe wanachokifanya pengine hawakijui na wanafanya ilimradi tu na unaweza kuta hawapendi wafanyacho basi tu maisha yanawalazimisha kufanya.
Bahati mbaya nyingine tuliyonayo ni kwamba hatutaki na hatupendi kujifunza maana kwa lujifunza mbona hakuna gumu.
Bahati nzuri tuliyonayo ni kwamba, Maarifa kuhusu lolote lile tunalotaka sisi kufanya tayari yapo, ni utayari wetu wa kuyatafuta maarifa hayo, kujifunza kwa makini kisha kuyafanyia kazi.
Kwa wale wanaopenda na kutaka kujifunza, wito wangu kwenu ni huu, Soma pia kitabu hiki cha Robert Kiyosaki maana anafundisha kwa kina sana kuhusu uwekezaji.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
BE RICH AND HAPPY.
Hapa Duniani kuna watu ambao ni matajiri sana lakini hawana furaha, Wapo watu pia ambao ni maskini lakini hawana furaha.
Japokuwa watu wengi ni wale ambao wanatamani na kutaka sana kuwa matajiri na wenye furaha ila ukweli mchungu ni kwamba wachache sana ndiyo huwa matajiri na huwa na furaha huku wengi wakiwa ni maskini tena maskini wasio na furaha.
Robert Kiyosaki anatufundisha mwongozo muhimu sana kuzingatia ikiwa unataka kuwa tajiri mwenye furaha. Je! Wewe una ndoto ya kuwa tajiri mwenye furaha?
Najua jibu ni ndiyo, Amua sasa kusoma kitabu hiki ili ujifunze tabia zinazoweza kukufanya uwe tajiri mwenye furaha.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
YOU CAN WORK YOUR OWN MIRACLES.
Taarifa ya kusikitisha sana Duniani ni kwamba watu wengi ni wale ambao hutaka sana kufanikiwa ila kufanikiwa kwa miujiza, yaani itokee tu bahati ghafla mtu anajikuta ni tajiri mkubwa.
Taarifa ya kweli na ya kufurahisha ni kwamba, kweli unaweza kufanikiwa kwa miujiza ikiwa tu utajua nini unapaswa kufanya ili miujiza hiyo itokee.
Hohoho!!! Ulidhani miujiza itatokea yenyewe tu? Pole sana kama ulidhani hivyo.
Mwandishi Napoleon Hill kwenye hiki kitabu anatufundisha kwa kina sana nini haswa tunapaswa kufanya ili kuweza kufanya mambo makubwa maishani mwetu.
Unaweza kufanya miujiza tena ya maajabu sana ikiwa tu utajua ni vitu gani unapaswa kufanya ili miujiza hiyo ifanyike.
Ili kujua jinsi ya kufanya miujiza mikubwa kwenye maisha yako, amua kusoma kitabu hiki sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
THE MASTER KEY TO RICHES.
Kama umewahi kusoma kitabu chochote cha bwana huyu Napoleon Hill basi najua utakuwa sio mgeni kivile kwa mafundisho yake, Kama hujawahi kusoma kitabu chochote cha bwana huyu Napoleon Hill wito wangu kwako ni huu, anza na kitabu chake cha "Think And Grow Rich" au hiki cha "The Master Key To Riches."
Kwenye hiki kitabu cha The Master Key To Riches, Napoleon Hill anatufundisha Falsafa muhimu itakayotuwezesha sisi kuwa na mafanikio tuyatakayo.
Muhimu kwako ni kukisoma kitabu hiki ili uweze kujua nini hasa wanaofanikiwa hufanya ili wewe pia uanze kufanya maana hujachelewa bado.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
EAT THAT FROG.
Kuna watu wanapanga mipango na mikakati yao vizuri kabisa ya ni jinsi gani watafanya yale wanayopaswa wao kufanya ili wafanikiwe, lakini taarifa mbaya ni kwamba wao wenyewe tena bila aibu hupangua mipango yao wao wenyewe.
Huishia kupanga tu mipango lakini swala la utendaji la yale waliyoyapanga huwa gumu sana kwao.
Kuna watu wanashangaza sana kusema ukweli maana wao kazi yao huwa ni kupanga mipango na kuipangua, kisha kupanga tena na kuipangua, kisha kupanga tena na kisha kuipangua na kisha kupanga tena na kuipangua, Yaani wao kazi yao huwa ni hiyo tu kupanga na kupangua yale waliyoyapanga wao wenyewe.
Tafiti zinaonesha kwamba, Watu wanaofanikiwa Duniani ni wale ambao wakipanga mipango fulani basi hukakikisha wanaifanyia kazi mipango hiyo.
Tafiti zinaonesha pia kwamba, Watu wasiofanikiwa Duniani wao huishia kupanga tu na kupangua, Kwa lugha rahisi tunasema ni watu ambao ni mabingwa wa kughairisha mambo.
Mwandishi nguli bwana Brian Tracy anatufundisha njia ambazo tunaweza kuzitumia kuishinda tabia hii ya kughairisha mambo.
Amua sasa kusoma kitabu hiki ili uondokane na tabia hiyo chafu na ambayo ni kizuizi kwa mafanikio yako.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
THE ART OF PUBLIC SPEAKING.
Kuna watu huwa wana ujasiri mkubwa na nguvu sana za kuongea na wao wenyewe lakini linapokuja lile swala la kusimama mbele za watu, wote wanakuangalia na kukusikiliza wewe tu, loh! Kwa wengi huu huwa mtihani mgumu sana kwao.
Wengine jasho huwatoka hata kama ni kipindi cha baridi kali, wengine hubanwa na haja muda huo, wengine kigugumizi huwakamata, wengine ghafla tu sura zao hutia huruma kweli huku wengine wakiishia kutetemeka kama vile wapo mahakamani.
Lakini kumbe yote hayo ni kwa sababu ya ukosefu tu wa maarifa sahihi ya jinsi ya kuongea mbele za watu kwa ufasaha.
Mwandishi nguli bwana Dale Carnegie anatufundisha kwa kina sana jinsi ya kuwa mzungumzaji bora.
Je! Ungependa kuwa mzungumzaji bora ambaye ukiongea watu wanaelewa unaongea nini na hata kupenda tu kuendelea kukusikiliza?
Amua sasa kusoma kitabu hiki maana mafunzo yote kwa ajili hiyo yapo humo.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
HOW TO ENJOY YOUR LIFE AND YOUR JOB.
Kuna watu wana kazi nzuri lakini wala hawana furaha kwa kazi zao, hawazifurahii kazi zao hata kidogo.
Wakati kwa watu hao hali ikiwa hivyo, kuna watu nao wala hawayafurahii maisha yao, yaani wanaishi tu sasa ilimradi siku zinakwenda lakini ile furaha ya kuishi wala hawana, Sijajua Labda ni kwa sababu maisha yanawachapa fimbo zenye Maumivu makali sana au pengine ni kwa sababu kuna vitu wanavitaka wameona hawawezi kuvipata.
Ila ninachojua mimi na ambacho ndiyo ukweli wenyewe ni huu, watu walio wengi hawajui nini hasa wanapaswa kufanya ili waweze kuyafurahia maisha yao na hata kuyafurahia yale wanayoyafanya.
Mwandishi Dale Carnegie, yeye sasa anakwenda kutufundisha ni jinsi gani tunaweza kufurahia yale tunayoyafanya, ni jinsi gani pia tunaweza kuyafurahia maisha yetu.
Ninajua tena nina uhakika kwamba hata wewe unataka sana kujua jinsi ya kufurahia maisha yako na yale unayoyafanya maana kama unaishi bila kuwa na furaha basi umepoteza wewe maana ya kuishi.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
TOUGH TIMES NEVER LAST, BUT TOUGH PEOPLE DO!
Kuna wakati unaweza kujiuliza maswali kama; Mbona nyakati ngumu kwako haziishi? Kwa nini unapomaliza kukabiliana na nyakati ngumu, hata hujapumzika au unapumzika kidogo tu zinakuja tena nyakati ngumu kweli kwako tena zinakuja mfululizo?
Unahisi kuyachoka maisha, unaona maisha yanakutesa tu na huoni tena kama kuna raha ya kuishi.
Mwandishi huyu Robert Schuller katika kitabu chake hiki cha "TOUGH TIMES NEVER LAST, BUT TOUGH PEOPLE DO!" Yaani "Nyakati Ngumu Hazitakwisha, Ila Watu Imara Wanajua Jinsi Ya Kuzikabili"
Anatufundisha kwa kina sana nini hasa sisi tunapaswa kufanya ili tuweze kuzikabili nyakati ngumu maishani mwetu.
Ina maana, wewe wala huna haja ya kutaka nyakati ngumu ziishe kwani hazitakwisha ikiwa wewe upo hai, na ukifa sio kwamba nyakati ngumu ndiyo zitakuwa zimekwisha, lahasha! Zitakuwepo ila kwa wale tu walio hai.
Hivyo basi unachopaswa wewe ni kujua jinsi gani unaweza kuwa mtu imara kiasi cha kuwa na uwezo wa kuzikabili nyakati zozote zile ngumu zitakazokuja maishani mwako kwani zitakuja kwa kuwa zipo.
Kujifunza zaidi jinsi ya kuwa mtu imara amua kusoma kitabu hiki hivi sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
THINK LIKE A WINNER.
Watu wanaofanikiwa wao hufikiria tofauti kabisa ukilinganisha na watu ambao hawafanikiwi, Sio kwamba watu wanaofanikiwa wao wana akili sana kuliko watu wasiofanikiwa, lahasha! Ila ni kwa sababu wao wamejua nini wanapaswa kufanya ili wafanikiwe na wafanyaje, si hivyo tu wao hufikiria kushinda na sio kushindwa.
Hali iko tofauti sana kwa watu wasiofanikiwa, wao hata kama wanayofanya ni sahihi lakini wao hufikiria zaidi kushindwa. Unawezaje kushinda ikiwa mawazo yako ni ya kushindwa?
Norman Vincent Peale anatufundisha jinsi ya kufikiria kama mshindi, mawazo yako yana nguvu sana ya kufanya wewe uweje, Jifunze kwa mwandishi huyu sasa jinsi ya kufikiria kama Mshindi maana ninajua unataka sana kuwa mshindi.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
OVERCOMING CRISIS.
Nyakati ngumu ndizo ambazo zimefanya maisha ya watu kuwa ya hovyo, magumu na ya shida sana.
Nyakati ngumu hizohizo pia ndizo ambazo zimefanya watu wengine kuwa na maisha bora, ya mafanikio makubwa na ya maana sana.
Swali ni Je! Tatizo lipo kwenye nyakati ngumu tunazokutana nazo maishani au tatizo lipo kwa watu wanaokutana na nyakati hizo ngumu?
Bila shaka tatizo lipo kwa watu kwa sababu kama wengine wanatumia nyakati ngumu hizo hizo kufanikiwa na hata kuwa na maisha bora, tunawezaje kusema tatizo lipo kwenye nyakati ngumu?
Dr. Myles Munroe anatufundisha kwa kina sana siri muhimu ambazo tunaweza kuzitumia kustawi hata kwenye nyakati hizo ngumu, Siri hizo zinakwenda kutufumbua macho ili tuweze kuona yale ambayo sisi tunapaswa kuyaona na kisha kuyafanya ili tuweze kuzishinda nyakati ngumu.
Wito wangu kwako ni huu, Nyakati ngumu zipo na njia rahisi ya kuzishinda ni kujifunza jinsi ya kuzikabili, Amua kusoma kitabu hiki sasa ili uweze kuzijua siri hizo.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.
THE PRINCIPLES AND BENEFITS OF CHANGE.
Inafahamika kwamba kama upo hai hapa Duniani basi kukutana na Mabadiliko ni jambo la kawaida sana. Iwe ni Mabadiliko chanya, iwe ni Mabadiliko hasi ila ukiwa upo hai tu basi mabadiliko yapo.
Tatizo lipo hapa, Watu wengi hutamani na hata kutaka sana Mabadiliko ijapokuwa wao wenyewe hawataki kubadilika. Inastaajabisha sana kwamba hutaki kubadilika lakini unataka Mabadiliko tena unataka Mabadiliko chanya, loh! Sasa utayapataje?
Kwa mfano, Wewe tabia zako ni tabia dhaifu yaani tabia zako haziwezi kukufanya ufanikiwe, lakini kwa sababu unataka kufanikiwa wewe unadhani kubadilika wewe na kuwa na tabia za mafanikio ni jambo linalotaka tena mjadala?
Dr. Myles Munroe katika kitabu chake hiki, anatufundisha kwa kina sana kanuni na faida za mabadiliko, ina maana kumbe huwezi kamwe kuona faida za Mabadiliko kama usipozijua na hata kuzingatia kanuni za mabadiliko.
Kujifunza zaidi kuhusu kanuni hizo na faida hizo za mabadiliko, nikualike tu usome kitabu hiki sasa.