THE RICHEST MAN IN BABYLON.
January 6, 2021 at 2:37 pm,
No comments
Rafiki yangu mpendwa, Je! Mfuko wako wa fedha umesinyaa na unataka kuufanya utune tena?
Hongera sana kama jibu ni ndiyo, ila je! Unaijua tiba makini inayoweza kuutibu mfuko wako wa fedha uliosinyaa hata ukapona na kutuna tena?
Wakati unatafakari hilo, nikuulize swali jingine tafadhali.
Je! Unazijua sheria za fedha ambazo watu wanaofanikiwa duniani wanazitumia?
Kama jibu ni ndiyo, hongera sana, ila je! Ni zipi hizo? Na je! Unajua jinsi ya kuzitumia sheria hizo za fedha?
Kumbuka kuzijua sheria ni jambo la kwanza lakini kujua jinsi ya kuzitumia na kuzitumia sheria hizo ni jambo lingine.
Kama jibu ni hapana yaani huzijui sheria za fedha ambazo watu wanaofanikiwa duniani wanazitumia, kwanza pole kwa hilo, ndiyo maana kumbe kila siku upo hapo hapo, utawezaje sasa kwenda hatua nyingine bora kifedha ikiwa hata sheria zenyewe za fedha tu huzijui?
Nikuulize swali la mwisho sasa, Je! Wewe unaweza kuwa mshindi kwenye mchezo ambao hata sheria zake tu huzijui?
Jibu ni rahisi tu hapa kwamba, ile kutokujua tu sheria za mchezo basi tayari mchezo huo wewe umeshakushinda.
Basi ndiyo maana inakuwa ngumu hata kwako kuwa na uhuru wa kifedha kwa sababu sheria za fedha huzijui.
Lakini wala hata usijali, Kitabu hiki cha Tajiri Mkubwa Wa Babeli kinakuja kukupa majibu ya maswali yako yote kuhusu fedha, si hivyo tu kwenye kitabu hiki utajifunza misingi muhimu inayoweza kukufanya ufanikiwe.
Nikuambie tu kwamba, hiki ni kitabu ambacho kinaongoza kwa kutoa mabilionea wengi amerika, wewe si unataka pia kuwa na uhuru wa kifedha? Usipoteze muda kukisoma kitabu hiki kama jibu lako ni ndiyo.
Kitabu hiki kipo cha lugha ya kiingereza na pia kipo cha lugha ya kiswahili, vyote sisi tunavyo.
Chagua lugha unayoweza kuilewa vizuri kisha fanya mawasiliano nasi ili tukupatie kitabu, fanya hivyo sasa hivi kwani wakati sahihi ni sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kujiunga na kundi letu la wasapu la CHUO CHA MAARIFA ili uweze kujifunza zaidi, tutumie ujumbe wasapu kwa namba 0672134512
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.