THINK POSITIVE THINGS WILL GO RIGHT.
Buddha aliwahi kusema kwamba, "Tunakuwa kwa kile tunachofikiri. "Hii tafsiri yake ni kwamba, Mawazo yetu ndiyo nayo yanafanya sisi tuweje. Kama hivyo ndivyo ilivyo na kama huo ndiyo ukweli ulivyo, Je! Mawazo yako wewe huwa ni chanya au hasi?
Jibu la swali hilo ni jepesi sana, kama tunakuwa kwa kile tunachofikiri, basi tukijiangalia vile tulivyo ndiyo tutajua ikiwa mawazo yetu sisi ni ya namna gani.
Unataka sana kufanikiwa lakini hufanikiwi, unashindwa hata kuelewa unakwama wapi, jibu ni rahisi tu kwamba, unakwama kwenye yale unayoyafikiria.
Ndipo mwandishi A.K Kamath anatufundisha kwa kina sana ikiwa ni pamoja na kutupatia mwongozo wa jinsi ya kufikiria mawazo mazuri na jinsi ya kuyatumia mawazo hayo mazuri ili yakapate kutupatia matunda mema.
Kujifunza zaidi kuhusu kufikiria mawazo mazuri ili mambo yawe mazuri pia, amua kusoma kitabu hiki hivi sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907