SAIKOLOJIA YA HAIBA; WEWE NI NANI?
January 2, 2021 at 3:01 pm,
No comments
Tafiti za wanasaikolojia zinasema kwamba, Mojawapo ya sababu za watu kutofanikiwa maishani ni kutojijua wao ni watu wa haiba gani.
Tafiti zinaendelea kusema kwamba, Hata migogoro ya mahusiano na ndoa chanzo chake kikubwa ni kwa wanandoa kutozijua haiba zao na za wenzi wao.
Najua utashangaa sana, lakini ipo hivi, kwanza ni makosa sana kuamua kuishi na mtu ambaye hata humjui haiba yake, loh! Naona unazidi kushangaa, nakuambia hivi tena kwamba, ukiweza kuijua haiba yako kisha ukajua na haiba za wanaokuzunguka, kwa asilimia kubwa wewe utaweza kujiepusha na migogoro na mambo yasiyofaa.
Ni kweli kwamba una uwezo mkubwa sana ndani yako ambao unaweza kuutumia kufanya mambo makubwa sana lakini Je! Unayajua madhaifu yako ambayo yanaweza kufanya usifanikiwe licha ya uwezo na akili nyingi ulizonazo?
Mwandishi na mwanasaikolojia Noverty Deogratius anatufundisha kwa kina sana kuhusu haiba zetu.
SWALI; Je! Unataka kujijua wewe ni nani? Je! Unataka kuwajua pia wanaokuzunguka? Kama jibu ni ndiyo, Fanya maamuzi ya kukisoma kitabu hiki sasa.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
Kujiunga na kundi la wasapu la CHUO CHA MAARIFA tuma ujumbe wasapu wenye maneno Chuo Cha Maarifa, tuma kwa namba 0672134512
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.