THE MAGIC OF THINKING BIG.
January 5, 2021 at 9:00 am,
No comments
Je! Mwenye haya maswali ni wewe?
Unatamani na kutaka sana kufanikiwa lakini huna imani ikiwa kweli utafanikiwa? Huna imani pia kwa hayo unayoyafanya ikiwa kweli yatakupatia ushindi unaouhitaji?
Unatamani na kutaka sana kuwa mtu anaejiamini kwa unayoyasema na unayoyafanya lakini hujui nini ufanye ili ujiamini?
Unafanya yale unayopaswa kufanya sawa lakini muda mwingi huwa unafikiria kushindwa kuliko kuweza?
Umechoka kuwa mkurupukaji wa mambo kwa maana kila siku umekuwa ukipata hasara tu, lakini hujui jinsi gani unaweza kuwa mtu makini?
Mazingira yanayokuzunguka yamekuwa changamoto kubwa sana kwako kutimiza malengo yako?
Unatamani na kutaka sana kujua jinsi ya kuvikabili vikwazo vinavyotaka kuzuia mafanikio yako?
Umekuwa ni mtu wa maneno sana kuliko vitendo na sasa unataka kuwa mtu wa vitendo sana kuliko maneno?
Umekuwa ni mtu wa kupanga kila siku na kupangua yale uliyoyapanga?
Umekuwa ni mtu wa kusubiria kila kitu kiwe kamilifu ndiyo ili uweze kuanza kufanya yale unayopaswa kufanya?
Unataka kujua jinsi ya kubadilisha kushindwa na kuufanya kuwa ushindi?
Ni kweli una malengo, lakini hujui jinsi ya kuyafanya malengo yako yatimie?
Na je! Unataka kujua namna bora ya kufikiria kama kiongozi?
Kama mwenye maswali hayo hapo juu ni wewe, basi nikuambie hivi; Majibu ya maswali yako yanapatikana kwenye kitabu hiki, unachotakiwa kufanya sasa hivi ni kukisoma tu kitabu hiki, usiseme utakisoma kwa sababu hutakisoma ila sema unakisoma na fanya maamuzi ya kukinunua sasa ili ukisome na ndipo utaona matunda yake.
Kitabu kinapatikana CITYMAX BOOKSHOP.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824
CITYMAX BOOKSHOP.
Tunaboresha Maisha Yako.
Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );
Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.
Kujiunga na kundi letu la wasapu la CHUO CHA MAARIFA ili uweze kujifunza zaidi, tutumie ujumbe wasapu kwa namba 0672134512
Kupata Huduma Zetu Za Ukocha, Wasiliana Nasi Kwa Namba 0672134512 au 0753690907
KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.